KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA JUMA KHATIBU CHUM AKIZINDUA JENGO LA HOSTEL 13-10-2015 JENGO LA HOSTEL CHUO CHA MADINI LAZINDULIWA NA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA NDUGU JUMA KHATIBU CHUM, 13-10-2015 MKUU WA CHUO AKISISITIZA JAMBO KWA WANAFUNZI KABLA YA MWENGE KUWASILI CHUONI MWENGE WA UHURU UKIWASILI CHUONI MKUU WA CHUO AKISOMA RISALA. KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA NDUGU JUMA KHATIBU CHUM AKIZINDUA JENGO LA HOSTEL 13-10-2015 WATUMISHI WA CHUO CHA MADINI KATIKA PICHA YA PAMOJA MBELE YA JENGO LA HOSTEL